Home Uncategorized YANGA YAENDA CHIMBO KUTAFUTA DAWA YA TOWNSHIP ROLLERS

YANGA YAENDA CHIMBO KUTAFUTA DAWA YA TOWNSHIP ROLLERS


KIKOSI cha Yanga leokimeanza safari kuelekea nyanda za juu kaskazini kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa kimataifa wa marudio dhidi ya Township Rollers.

Mwenyekiti wa Yanga, Mshindo Msolla amesema kuwa kikosi kitaweka kambi mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya hali ya hewa kuendana na ile ya Botswana.

Mchezo wa marudio unatarajiwa kuchezwa kati ya Agosti 23-25 nchini Botswana na Yanga ina kibarua cha kutafuta ushindi baada ya kulazimisha sare ya kufungana bao 1-1 uwanja wa Taifa.

SOMA NA HII  KOCHA AFUNGUKA KUHUSU NAFASI YA AJIBU SIMBA