Home Uncategorized OLPER AKILI KUDANGA

OLPER AKILI KUDANGA


WAKATI mastaa mbalimbali wa kike wakidaiwa kudanga kwa wanaume tofauti, mwigizaji Jacqueline Wolper amefunguka kuwa hata yeye amewahi kufanya hivyo, lakini kwa staili ya tofauti.

Akistorisha na Gazeti la Ijumaa, Wolper alisema amewahi kudanga kwa kuwa na mwanume mwenye fedha, lakini siyo kwa maana kuwa na wanaume wengi tofautitofauti kwa ajili ya kujipatia kipato.

β€œNimewahi kudanga, kwa kawaida kudanga ninavyoijua na nivyoielewa maana yake ni kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanaume mwenye pesa, hiyo maana nyingine ya kuwa na wanaume wengi siijui.”

SOMA NA HII  LIVE: TAZAMA HAPA CEO MPYA SIMBA AKITAMBULISHWA - VIDEO