Home Uncategorized HATIHATI YA MECHI KATI YA SIMBA NA ALLIANCE KUFANYIKA LEO CCM KIRUMBA

HATIHATI YA MECHI KATI YA SIMBA NA ALLIANCE KUFANYIKA LEO CCM KIRUMBA


Taarifa zilizotufikia kutoka jijini Mwanza katika dimba la CCM Kirumba ni hatihati ya mechi ya Alliance dhidi ya Simba kufanyika.

Kuna uwezekano mechi hiyo iaksogezwa mbele kutokana na mvua kubwa ambayo inaendelea kunyesha jijini humo.

Taarifa zinasema hali ya uwanja si nzuri kutokana na maji kujaa kwa wingi ndani ya dimba hilo lililo pembezoni kidogo mwa jiji.

Saleh Jembe itaendelea kukujuza kuhusiana na kila kinachojiri juu ya mechi hii inayosubiriwa kwa hamu na wadau pamoja na mashabiki wa soka hapa nchini.
SOMA NA HII  MCHEKA NYAVU WA MBAO FC AWAOMBA WATANZANIA KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA CORONA