Home Uncategorized MITIHANI MITANO ATAKAYOKUTANA NAYO SAMATTA EPL YAANIKWA – VIDEO

MITIHANI MITANO ATAKAYOKUTANA NAYO SAMATTA EPL YAANIKWA – VIDEO

Baada ya Samatta kusajiliwa Rasmi na Aston Villa, Samatta ambae ni mgeni wa ligi kuu ya England yenye mashabiki wengi dunia atakutana na vikwazo kadhaa ikiwemo kumpunguza kasi Jamie Vardy ambae kwa msimu huu amekuwa tishio kwa utupiaji wa magoli.

SOMA NA HII  BOSI MPYA BODI YA LIGI AJA NA AGIZO ZITO