Home Uncategorized MTANGAZAJI NGULI NCHINI AMUONDOA SAMATTA KIKOSINI ASTON VILLA – VIDEO

MTANGAZAJI NGULI NCHINI AMUONDOA SAMATTA KIKOSINI ASTON VILLA – VIDEO


Usajili wa Samatta bado ni gumzo Tanzania na hata nje ya mipaka ya Bara la Afrika kwani amevunja mwiko kwa Watanzania kutocheza Ligi Kuu ya Uingereza.

Mtangazaji nguli nchini Tanzania, Charles Hillary amepata wasaa wakuzungumzia usajili wa Samatta Aston Villa na kutoa mtazamo wake wa juu ya mechi ambazo anahisi Samatta hatacheza.
SOMA NA HII  KAZE, KOCHA BORA MWEZI OKTOBA