Home Uncategorized HIVI NDIVYO MKAZI WA MBEYA ALIVYOSHINDA ZAIDI YA MILIONI 125 ZA PREMIER...

HIVI NDIVYO MKAZI WA MBEYA ALIVYOSHINDA ZAIDI YA MILIONI 125 ZA PREMIER BET


KAMPUNI ya Michezo ya Kubashiri ya Premier Bet Tanzania imemtangaza mkamalia mmoja mjanja ambaye ameshinda zaidi ya milioni 125 kwenye mkeka wake wikiendi hii.

 Mteja huyo alibashiria dau la shilingi 1,000 kwenye mkeka wenye machaguo 15 kutoka katika ratiba ya Premier Bet maarufu kama KUBWA NA BORA KULIKO. Mkamalia huyo alishinda machaguo yote na kushinda 125,476,300.

Musa Hamisi Mwangoka mkazi wa Mlowo, Mbozi, Songwe ndiye mshindi wa dau hilo la 125,476,300.


Mkeka huo ulisheheni mechi kubwa kama vile Real Betis v Barcelona na PSG v Lyon pamoja na mechi nyingine zisizofahamika sana kama Marbrella v CD Don Benito na AltayIzmir  v Boluspor.

Ushindi huu ni moja ya ushindi mkubwa kutokea kwa Premier Bet ambapo wanasisistiza kwamba michezo ya kubashiri ni sehemu ya burudani na sio chanzo cha mapato

SOMA NA HII  GAMONDI AFANYA MAAMUZI MAGUMU MASTAA HAWA YANGA KUPINGWA PANGA.....UNAAMBIWA SKUDU NAE HANA BAHATI