Home Uncategorized VPL: SIMBA 1-1 POLISI TANZANIA

VPL: SIMBA 1-1 POLISI TANZANIA




Simba 1-1 Polisi Tanzania
Sabilo gool dk 22
Bocco Goaal dk 56
MPIRA kati ya Simba na Polisi Tanzania ya Moshi Uwanja wa Taifa ni kipindi cha pilBao ni 1-1 kwa sasa Uwanja wa Taifa


Haujaanza kutokana na tatizo la taa Uwanja wa Taifa baada ya kujadiliana kwa muda kidogo umeanza na sasa unaendelea

Polisi Tanzania walianza kufunga bao lililopachikwa kipindi cha kwanza na nyota wa Polisi Tanzania Sixtus Sabilo dakika ya 22.

SOMA NA HII  KARIA - KLABU ZA LIGI KUU ZIJITAMBUE