Home Uncategorized VPL:SIMBA 0-0 JKT TANZANIA

VPL:SIMBA 0-0 JKT TANZANIA


Simba 0-0 JKT Tanzania
Uwanja wa Uhuru

MCHEZO ulianza kwa sasa Uwanja wa Uhuru ni kati ya Simba na JK Tanzania.

Nyota wapya wa Simba, Luis na Shiza Kichuya wameanza leo kwa mara ya kwanza.

Mashabiki wamejitokeza kushuhudia ushindani uliopo kwani leo ni mechi ya kisasi.

Mchezo wa kwanza walipokutana Simba ilishinda mabao 3-1

SOMA NA HII  JKT TANZANIA V SIMBA MATOKEO YAO YA MECHI ZAO HAYA HAPA