Home Uncategorized VPL:SIMBA 1-0 COASTAL UNION

VPL:SIMBA 1-0 COASTAL UNION

MCHEZO kati ya Simba na Coastal Union kwa sasa Uwanja wa Taifa ni mapumziko.

Simba inaongoza kwa bao 1-0 kwa muda wa apumziko lilifungwa na Mbrazili, Gerson Fraga dakika ya 7.

Timu zote ndani ya Ligi Kuu Bara zimecheza jumla ya mechi 17 hivyo leo zinacheza mchezo wao wa 18.

Kipindi cha kwanza Erasto Nyoni alitolewa nje baada ya kuumia nafasi yake ilichukuliwa na Kenedy Juma.

Kagere naye alifunga bao ila ilioneshwa kuwa ameotea.

SOMA NA HII  SIMBA NA YANGA ZAKUTANA KWA BEKI HUYU KITASA, MWENYEWE AFUNGUKA