Home Uncategorized WATANZANIA WATWAA KOMBE LA KWANZA MBELE YA UD SONGO YA MSUMBIJI

WATANZANIA WATWAA KOMBE LA KWANZA MBELE YA UD SONGO YA MSUMBIJI

MOSES Kitandu na Eliuter Mpepo wametwaa Kombe la Ngao ya Hisani kwa kuitungua UD Songo ya Msumbiji kwa penalti.
Mpepo na Kitandu ambao ni raia wa Tanzania wanakipiga ndani ya Klabu ya CD Coasta do Sol ya Msumbiji.

Kwenye mchezo huo ndani ya dakika tisini walitoshana nguvu kwa kufungana bao 1-1 hali iliyopelekea kuoigwa mikwaju ya penalti na timu ya Watanzania hao kushinda kwa penalti 7-6.

Kitandu amesema kuwa ni mwanzo mzuri kwake pamoja na Mpepo wataendelea kupambana kufikia malengo yao.

SOMA NA HII  SIMBA YAANZA SAFARI KUIFUATA NAMUNGO LEO