Home Uncategorized CORONA KWA NCHI ZA AFRIKA

CORONA KWA NCHI ZA AFRIKA


WATU 3,778 wamethibitishwa kuwa na ugonjwa wa Covid-19 hadi kufikia Machi 28, 2020 katika nchi 46 za Afrika huku vifo 109 vikiripotiwa barani Afrika kutokana na ugonjwa huo.

Afrika Kusini inaongoza barani Afrika ikiwa na wagonjwa 1,170 wa covid-19

SOMA NA HII  ONANA ATOA YA MOYONI MARUDIANO DHIDI YA AL AHLY