Home Uncategorized HILO BALAA LA MOLINGA NA SIBOMANA ACHA KABISA

HILO BALAA LA MOLINGA NA SIBOMANA ACHA KABISA

DAVID Molinga mshambuliaji wa Yanga ameongeza akaunti yake ya mabao kwenye Ligi Kuu Bara sawa na pacha mwenzanke Patrick Sibomana baada ya jana Machi kila mmoja kutupia.

Kwenye mchezo wao mbele ya Mbao FC, David Molinga alifunga bao lake la nane kwa mkwaju wa penalti dakika ya 26 huku Patrick Sibomana naye akifunga bao lake la tano kwenye ligi.

Kwenyemabao nane Molinga jana alifunga bao lake la kwanza kwa mkwaju wa penalti.

Yanga kwa sasa ipo nafasi ya tatu ikiwa na pointi 47 baada ya kucheza mechi 24.

SOMA NA HII  LEO NI KAMA FAINALI KWA TANZANITE