Home Uncategorized NYOTA BORUSSIA DORTUMUND ATAJA SABABU YA KUTOMSAHAU KOCHA WA MANCHESTER UNITED

NYOTA BORUSSIA DORTUMUND ATAJA SABABU YA KUTOMSAHAU KOCHA WA MANCHESTER UNITED


NYOTA wa timu ya Borussia Dortumund, Earling Haalad amesema kuwa hawezi kumsahau Kocha Mkuu wa Manchester United, Ole Gunnnar Solkkajer, kwa sapoti yake.

Wote wawili ni raia wa Norway ambapo walikutana kwenye timu ya Molde ya nchini kwao wakati huo yeye akiwa mchezaji na Solskajer kocha.

“Amekuwa akinipa sapoti wakati ule najifunza nilikuwa napenda kumuona namna akifanya kazi uwanjani kutengeneza na kumalizia jambo ambalo linanifanya nisimsahau kwa mchango wake,’ amesema.

SOMA NA HII  KILICHOIPOTEZA YANGA UWANJA WA UHURU MBELE YA KMC HIKI HAPA