Home Uncategorized BEN CHILWELL WA LEICESTER AINGIA ANGA ZA CHELSEA

BEN CHILWELL WA LEICESTER AINGIA ANGA ZA CHELSEA


BEN Chilwell nyota wa Leicester City ameingia kwenye hesabu za kuwaniwa na Klabu ya Chelsea ili akaongeze nguvu ndani ya kikosi hicho kinachoshiriki Ligi Kuu England.

Frank Lampard mbaye ni Kocha Mkuu wa Chelsea ameonyesha dalili za kumtaka nyota huyo ili awe naye kwenye kikosi chake.
Inaelezwa kuwa dau la kumtoa beki huyo ndani ya Leicester City ni pauni milioni 50.

Nyota huyo mwenye miaka 23 inaelezwa pia uwezo wake umeivutia klabu ya Juventus.
SOMA NA HII  MAZITO AYAFIKIRIA MBELGIJI WA YANGA KWA SASA, AINGIA VITANI NA SIMBA JUMLA