Home Uncategorized MANCHESTER CITY YAPELEKA TUZO LIVERPOOL

MANCHESTER CITY YAPELEKA TUZO LIVERPOOL


KEVIN de Bruyne staa wa Manchester City amesema kuwa tuzo ya mchezaji bora wa msimu iende Liverpool.

Mpishi huyo wa mabao akiwa na pasi 16 za mabao amesema Sadio Mane anastahili kusepa na tuzo hiyo kwa msimu huu wa 2019/20 ambao kwa sasa umesimama kutokana na maabukizi ya Virusi vya Corona.


 “Kama mtu akaniuliza ni nani anafaa kuwa mchezaji bora Kwenye Ligi Kuu England msimu huu nitasema Mane amefanya kazi kubwa,”.

SOMA NA HII  JEMBE JIPYA YANGA LANIKA AHADI KUBWA BAADA YA KUTUA BONGO