Home Uncategorized NYOTA POLISI TANZANIA SAINI YAKE YAGEUKA DILI

NYOTA POLISI TANZANIA SAINI YAKE YAGEUKA DILI



BARAKA Majogoro kiungo wa Polisi Tanzania saini yake imegeuka lulu kutokana na klabu nyingi kuelezwa kuitaka saini yake.

Polisi Tanzania ipo chini ya Kocha Mkuu, Malale Hamsini ipo nafasi ya sita kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara ikiwa na pointi zake 45.

Miongoni mwa klabu ambazo zinatajwa kuwania saini yake ni pamoja na Namungo FC, Lipuli FC, Kagera Sugar na Azam FC.

Ofisa Habari wa Azam FC, Zaka Zakazi amesema kuwa mpango wa usajili kwa sasa bado wakati ukifika kila kitu kitawekwa wazi.

SOMA NA HII  KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA MLANDEGE FC, UWANJA WA AZAM COMPLEX