Home Uncategorized WAGENI HAWA NI VINARA KWA KUTUPIA KWENYE TIMU ZAO NA WANA HAT...

WAGENI HAWA NI VINARA KWA KUTUPIA KWENYE TIMU ZAO NA WANA HAT TRICK PIA


KINARA wa utupiaji ndani ya Azam FC ni Obrey Chirwa raia wa Zambia ametupia mabao nane msimu huu ambapo aliwapiga hat trick Alliance FC Uwanja wa Nyamagana.

Azam FC ipo chini ya Kocha Mkuu, Arstica Cioaba raia wa Romani ambaye ameongoza kikosi hicho kwenye jumla ya mechi 24 ambapo alichapwa mechi tano, sare sita na kushinda mechi 13.

Ikiwa nafasi ya pili Azam FC imefunga jumla ya mabao 37 na ina pointi 54.

Mkali mwingine mwenye hat trick kwa wageni ni Meddie Kagere raia wa Rwanga mwenye mabao 19 aliwatungua Singida United Uwanja wa Uhuru.

SOMA NA HII  AZAM FC KUKIWASHA LEO, MAJEMBE MAPYA KUTAMBULISHWA, KIBA ANA JAMBO LAKE