Home Uncategorized HAYA HAPA MABAO YA BERNARD MORRISON WA YANGA

HAYA HAPA MABAO YA BERNARD MORRISON WA YANGA


BERNARD Morrison, kiungo mshambuliaji wa Yanga, alisajiliwa na Yanga kwenye usajili wa dirisha dogo mwezi Desemba mwaka jana, lakini hadi sasa ameshaifungia timu hiyo mabao manne.

Alianza tarehe 26/01/2020 katika mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Tanzania Prisons Uwanja wa Taifa.

Tarehe 05/02/2020 akaifunga Lipuli FC katika mchezo wa Ligi Kuu Bara Uwanja wa Taifa.

Tarehe 11/02/2020 akafunga tena dhidi ya Mbeya City mchezo wa Ligi Kuu Bara Uwanja wa Taifa.

Tarehe 08/03/2020 aliwatungua Simba bao moja kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara.

SOMA NA HII  AUBAMEYANG MAMBO MAGUMU ARSENAL KWA SASA BAADA YA KUSAINI DILI