Home Uncategorized MTUPIAJI ALIYEZIPIGA CHINI YANGA NA SIMBA AJENGA USHKAJI NA BENCHI

MTUPIAJI ALIYEZIPIGA CHINI YANGA NA SIMBA AJENGA USHKAJI NA BENCHI


KASSIM Khamis, mshambuliaji wa zamani wa Kagera Sugar aliyechomoa dili la kujiunga na vigogo wa Kariakoo Simba na Yanga anapata tabu sana ndani ya Azam FC.
Simba na Yanga zilihaha kuipata saini ya nyota huyu wa Zanzibar ila mabosi wa Azam FC wakawazidi ujanja na kuipata saini yake.
Licha ya makocha wawili kumkuta Kassim  aliyeanza na Etienne Ndayiragije ambaye kwa sasa yupo na timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kisha Arstica Cioaba ila hana nafasi kikosi cha kwanza.
Akizungumza na Saleh Jembe, Kassim amesema kuwa haelewi sababu ya yeye kukaa benchi na hawezi kuzungumzia suala hilo.
“Sielewi sababu ya kukaa benchi na siwezi kuzungumzia masuala hayo,” amesema.
SOMA NA HII  SIMBA LEO KUKIPIGA DHIDI YA KMC NA TRANSIT CAMP, MUGALO KUZIKOSA ZOTE MBILI

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here