Home Uncategorized KIUNGO WA AZAM FC CABAYE AUAGA UKAPERA

KIUNGO WA AZAM FC CABAYE AUAGA UKAPERA


KIUNGO wa timu ya Azam FC, Abdallah Masoud, ‘Cabaye’ ameuaga ukapela kwa kuvuta jiko lake rasmi jana usiku.

Kiungo huyo alifunga ndo na Bi. Fatma Mbegu ambaye ndiye mkewe rasmi kwa sasa.

Uongozi wa Azam FC umemtakia kila la kheri nyota huyo kwa kuandika maneno 35 ya kumtakia kila la kheri kupitia ukurasa wao rasmi wa Instagram.

Waliandika namna hii: “Hongera kwa kiungo wetu, Abdallah Masoud ‘Cabaye’, kwa kuuaga ukapera jana usiku, baada ya kufunga ndoa na Bi. Fatma Mbegu.

“Tunawatakia ndoa njema, yenye amani, furaha na masikilizano ndani yake.

SOMA NA HII  MUGALU YAMKUTA KWA SVEN, KAZE ANA JAMBO LAKE