Home Uncategorized LIVE:YANGA 0-1 KAGERA SUGAR

LIVE:YANGA 0-1 KAGERA SUGAR


UWANJA waTaifa

Dakika ya 45 zinakamilika zinaongezwa dakika 2
Dakika ya 44 Luhende anafanya jaribio linakwenda juu kidogo
Dakika ya 43 Kaseke anachezewa faulo ndani ya 18Dakika ya 36 Kaseke anafanya jaribio linakwenda nje kidogo ya lango
Dakika ya 35 Molinga anaifuata Kagera Sugar Dakika ya 19 Goal Awesu Awesu Asisti Mhilu
Dakika ya 12 Niyonzima anafanya jaribio linaokolewa na Kipao inakuwa kona haizai matunda
Dakika ya 8, Fei Toto anaangushwa ndani ya 18 mwamuzi anamwambia asimame aendelee kuchezaDakika ya 6 Kelvin Sabato anaotea
Dakika ya 05 Kagera Sugar wanaelekea lango la Metacha
Kipindi cha Kwanza
Yanga 0-0
Kombe la Shirikisho Hatua ya Robo Fainali 

SOMA NA HII  BEKI WA NKANA FC, HASSAN KESSY ATAJA ATAKAPOKUWA IWAPO DILI LAKE LITABUMA NKANA