Home Uncategorized VPL, LIVE: JKT TANZANIA 1-0 YANGA

VPL, LIVE: JKT TANZANIA 1-0 YANGA


HT: JKT Tanzania 1-0 Yanga
Michael Aidan goal 
Zimeongezwa dakika 2
Dakika ya 45 Juma Abdul anapiga faulo inayoishia Kwenye mikono ya kipa
Dakika ya 44, Kaseke anachezewa faulo
Dakika ya 42 Kelvin Yondani anachezewa faulo na mchezaji wa JKT Tanzania 
Dakika ya 36 Goooool, Michael Aidan anamtungua Mnata nje ya 18
   Dakika Dakika ya 35 Fei Toto anaachia shuti kali nje linakwenda,  anapiga kona Niyonzima baada ya JKT Tanzania kutoa mpira nje

Dakika ya 33 Niyonzima anapiga kona haileti matunda,  Yanga wanaotea mara moja huku JKT Tanzania wakiotea mara 2.
Dakika ya 31 JKT Tanzania wanacheza faulo ya saba sawa na Yanga, inapigwa na Michael Aidan haileti matunda 
Dakika ya 30 Mnata anaanzisha mashambulizi 
Dakika ya 28 Adam Adam wa JKT Tanzania anaonyeshwa kadi ya njano
Niyonzima anapiga kona inaokolewa na Kazimoto
Dakika ya 27, Adeyum, Balama anachezewa faulo
Dakika ya 25 Kaseke, Lamine Moro,  JKT Tanzania wanamchezea rafu Fei Toto 
Dakika ya 22 Yondani anamchezea rafu nyota wa JKT Tanzania faulo ya sita JKT Tanzania wanapiga, Michael Aidan anajikunjua inakuwa off target 
Dakika ya 20 Kaseke anachezewa rafu na Waziri, faulo inapigwa na Niyonzima inaokolewa, Said Juma a Yanga anapiga faulo nyingine haileti matunda.
Dakika ya 19 JKT Tanzania wanapiga kona ya tatu inaokolewa na mabeki
Dakika ya 17, JKT Tanzania wanaotea mara ya pili
Dakika ya 16 JKT Tanzania wanapata kona ya pili huku Yanga wakiwa wamepiga kona moja
Dakika ya 15 Niyonzima anapiga faulo inaokolewa na kipa wa JKT Tanzania 
Dakika ya 11 Yanga wanafanya jaribio JKT wanatoa nje inakuwa  kona haizai matunda
Dakika ya 10 Lamine Moro anamchezea rafu Matelema inapigwa na Jabir Aziz haizai matunda
Dakika ya 9 Mchezaji wa JKT Tanzania anafeli kurusha mpira 
Dakika ya 8 Haruna anajaza majalo yanaishia kwa Kazimoto,Nchimbi anatengeneza nafasi inapotezwa
Dakika ya 7 Fei Toto anamchezea rafu Mwinyi Kazimoto inachezwa faulo
Dakika ya 6 JKT Tanzania wanaelekea lango la Yanga 
Dakika ya 5 JKT wanafanya jaribio linakwenda hewani
Dakika ya 4 Mnata anaokoa hatari
Dakika ya 02 Yanga wanapeleka mashambulizi JKT
Kipindi cha Kwanza kimeanza
Timu zimeshawasili uwanjani

JKT Tanzania v Yanga

Uwanja wa Jamhuri, Dodoma

Juni 17,2020

SOMA NA HII  DODOMA JIJI YATOSHANA NGUVU NA MBEYA CITY LEO