Home Uncategorized VPL: SIMBA 1-1RUVU SHOOTING

VPL: SIMBA 1-1RUVU SHOOTING

Zimeongezwa dakika 3

Kipindi cha Kwanza Uwanja wa Taifa dakika 45 zimemeguka
Dakika ya 43 Ruvu wanalifuata lango la Simba
Dakika ya 35 Goal Maganga
Dakika ya 35 Luis anajikunja mpira unakwenda nje
Dakika ya 34 Nyoni anapeleka mashambulizi kwa Ruvu
Dakika ya 32 Wawa anaokoa hatari
Dakika  ya 31 Manula anaokoa hatari langoni mwake
Dakika ya 30 Ruvu wanacheza faulo
Dakika ya 29 Gadiel anaanzisha mpira kwa Kichuya

Dakika ya 27 Maganga analifuata lango la SimbaDakika  ya 26 Ruvu wanapeleka shambulizi SimbaDakika ya 25 Kapombe anamwaga maji yanakwenda nje
Dakika ya 24 Ruvu wanapanda 
Dakika ya 21, Simba wamecheza jumla ya faulo sita huku Ruvu Shooting wakicheza faulo moja.
Dakika ya 20 Manula anaokoa hatari ya pili
Dakika ya 18 HD anachezewa rafu, faulo inapigwa na Luis haileti manufaa.

Dakika ya 15 Ruvu Shooting wanaotea na kufanya jumla waotee mara tatu huku Simba wakiotea mara moja.
Dakika ya 11 Gooal Kichuyaa
Dakika ya 11 Manula anadaka shuti la kwanza
Dakika ya 10 Luis anaotea akitumia pasi ya Kichuya

Dakika ya 09 Luis anafanya jaribio jepesi kwa Ruvu Shooting 

Dakika ya 08 Wawa anaokoa hatari ndani ya 18Dakika ya 07 Ruvu Shooting wanapeleka shambulizi Simba.

Simba 0-0 Ruvu Shooting 

Uwanja wa Taifa

MCHEZO kwa sasa Uwanja wa Taifa ni kati ya Simba na Ruvu Shooting.


Kipindi cha kwanza hakuna timu iliyoona lango la mpinzani
SOMA NA HII  ASTON VILLA KWENYE MTIHANI MGUMU LEO MBELE YA ARSENAL