Home Uncategorized AZAM FC WATEKELEZA SIKU YA UCHANGIAJI DAMU KWA VITENDO

AZAM FC WATEKELEZA SIKU YA UCHANGIAJI DAMU KWA VITENDO


AZAM FC leo imetekeleza kwa vitendo siku ya wachangiaji damu duniani, kwa baadhi ya wafanyakazi kuchangia damu kwenye benki ya Taifa ya Damu Salama.

Zoezi hilo limefanyika kwenye viunga vya Azam Conmplex, ambapo pia watu mbalimbali wakiwemo mashabiki wa soka, waliruhusiwa kuchangia damu.

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa kushirikiana na kllabu hiyo kwa pamoja wamedhamini zoezi hilo, lengo ni kuokoa maisha ya watu wenye uhitaji wa damu hospitalini.


SOMA NA HII  FA: YANGA 0-0 GWAMBINA