Home Uncategorized BREAKING:HERERIMANA WA KMC AWAPIGA CHINI SVEN NA ADAM

BREAKING:HERERIMANA WA KMC AWAPIGA CHINI SVEN NA ADAM

KOCHA Mkuu wa Klabu ya KMC, Hererimana Haruna amechaguliwa kuwa Kocha Bora wa mwezi Machi wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) msimu wa 2019/2020.

Hererimana alitwaa tuzo hiyo baada ya kuwashinda wenzake Sven Vandenbroeck wa Simba na Khalid Adam wa Mwadui FC alioingia nao fainali.

SOMA NA HII  TAIFA STARS KUKUTANA NA BALAA LA MASTAA A MOROCCO