Home Uncategorized LIGI KUU TANZANIA BARA KIVUMBI KINAENDELEA LEO, RATIBA YA MECHI HIZI HAPA

LIGI KUU TANZANIA BARA KIVUMBI KINAENDELEA LEO, RATIBA YA MECHI HIZI HAPA


Leo Julai 8, VPL ratiba yake ipo namna hii:-

Mbao v Mtibwa, Uwanja wa Kirumba. 

Ndanda v JKT JKT Tanzania,  Uwanja wa Nangwanda Sijaona. 

Mbeya City v Polisi Tanzania,  Uwanja wa Sokoine. 

Biashara v Ruvu Shooting,  Uwanja wa Karume.

KMC v Singida United,  Uwanja wa Azam Complex. 

Namungo v Simba, Uwanja wa Majaliwa.

Kagera Sugar v Yanga, Uwanja wa Kaitaba.

SOMA NA HII  AZAM YAMALIZANA NA MTUPIAJI KUTOKA ZIMBABWE