Home Uncategorized LIVE:SIMBA 1-0 AZAM FC, UWANJA WA TAIFA

LIVE:SIMBA 1-0 AZAM FC, UWANJA WA TAIFA


HT:Simba 1-0 Azam FC

Robo fainali Kombe la FA
Dakika 45 zimekamilika,  imeongezwa dk 1
UWANJA wa Taifa 
Kipindi cha kwanza

Simba 0-0 Azam FC 
Dakika ya 40 Djod anafanya jaribio nje ya 18 linaokolewa na ManulaDakika 39 Goal Bocco asisti Kahata
Dakika ya 35 Chama anapiga kona ya tatu haizai matunda 
Dakika ya 32 Chirwa anaotea
Dakika ya 31 Haule anaokoa hatari langoni mwakeDakika ya 28 Chama anapiga kona ya pili inaokolewaDakika ya 23 Simba wanapata faulo nje kidogo ya 18
Dakika ya 22  Kahata anafanya jaribio linapaa mawinguni
Dakika ya 20 Tigere anapiga faulo inaokolewa 
Dakika ya 16 Chama anafanya jaribio nje ya 18 linaokolewaDakika ya 15 Haule anaokoa hatari
Dakika ya 14 Azam FC wanaingia 18 za Simba wanazuiwaDakika ya 10

Dakika ya 6 Djod alichezewa faulo

SOMA NA HII  AZAM YAIFANYIA UMAFIA WA AINA YAKE YANGA KWA METACHA