Home Uncategorized VPL LEO HIZI HAPA ZINAKIWASHA KUSAKA POINTI TATU

VPL LEO HIZI HAPA ZINAKIWASHA KUSAKA POINTI TATU

LEO Julai 5
Namungo FC v JKT Tanzania, Uwanja wa Majaliwa

Kagera v Ruvu Shooting, Uwanja wa Kaitaba.

KMC v Mwadui, Uwanja wa Chamazi.

Mbao v Lipuli, Uwanja wa CCM Kirumba.

Tanzania Prisons v Polisi Tanzania, Uwanja wa Sokoine.

Zinapigwa saa 10  jioni.

SOMA NA HII  DILI LA RUTANGA YANGA HAWA WAMEHUSIKA KUMPA MIAKA MIWILI