Home Uncategorized BREAKING: AZAM FC YASHUSHA JEMBE JINGINE LA KAZI

BREAKING: AZAM FC YASHUSHA JEMBE JINGINE LA KAZI

 Aliyekuwa beki wa kushoto wa Mbao, Emmanuel Charles, amefuzu vipimo vya afya, tayari kujiunga na Azam FC kwa ajili ya msimu ujao.


Habari zinaeleza kuwa beki huyo ameandaliwa mkataba wa miaka miwili ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na Aristica Cioaba.


SOMA NA HII  ZAHERA AITAFUTA REKODI YA KOCHA SIMBA CAF