Home Uncategorized DEO KANDA ATAJWA KUIBUKIA YANGA

DEO KANDA ATAJWA KUIBUKIA YANGA

 INAELEZWA kuwa kiungo mshambuliaji wa Simba, Deo Kanda amesaini dili la miaka miwili ndani ya Yanga.

Tayari dirisha la usajili limefunguliwa tangu Agosti Mosi na linatarajiwa kufungwa Agosti 31.

Habari zinaeleza kuwa Yanga imemnasa Kanda akiwa mchezaji huru baada ya dili lake la mwaka mmoja kufika tamati ndani ya Simba.

SOMA NA HII  KESHO NDANI YA GAZETI LA SPOTI XTRA JUMAPILI