Home Uncategorized VPL: KAGERA SUGAR 0-0 YANGA

VPL: KAGERA SUGAR 0-0 YANGA

 


Kagera Sugar 0-0 Yanga
Kipindi cha kwanza
Uwanja wa Kaitaba

Zimeongezwa dakika 2
Dakika ya 45 Sarpong anachezewa faulo na Eric anaonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 42 Kibwana Shomari anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 34 Erick Mwijage anaingia anatoka Mohamed Ibrahim kwa Kagera Sugar
Dakika ya 29 Yacouba anachezewa faulo nje kidogo ya 18
Dakika ya 23 Sonso anaanzisha mashambulizi
Dakika ya 21 Mustapha anapeleka mashambulizi Kagera Sugar

Dakika ya 20 Mnata anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 16 Kagera Sugar wanapeleka mashambulizi Yanga
Dakika 15 za mwanzo zimekamilika kwa timu zote kutoshana nguvu
Mchezo kwa sasa Uwanja wa Kaitaba ni kati ya Kagera Sugar dhidi ya Yanga ikiwa ni kipindi cha kwanza.

Mashabiki wengi wamejitokeza kushuhudia mchezo wa leo ambao umeanza kwa kasi ndani ya Uwanja wa Kaitaba, Bukoba.

Ni mchezo wa kwanza kwa Yanga kwa msimu wa 2020/21 nje ya Dar 

SOMA NA HII  AUSSEMS WA SIMBA NA THIERY WA NAMUNGO WATAJWA KUINGIA ANGA ZA YANGA