Home Uncategorized MWENDO WA FRANCIS BARAZA NDANI YA BIASHARA UNITED

MWENDO WA FRANCIS BARAZA NDANI YA BIASHARA UNITED

 


FRANCIS Baraza, Kocha Mkuu wa Biashara United ndani ya msimu wa 2020/21 amekuwa ni miongoni mwa makocha ambao wameanza mwendo wa kusaka matokeo vizuri ndani ya Ligi Kuu Bara.


Kwa sasa ikiwa imecheza jumla ya mechi 8, imeshinda mechi tano, sare moja na imepoteza jumla ya mechimbili ambapo imefungwa jumla ya mabao saba.

Licha ya kwamba ipo nafasi ya tatu na pointi zake 16 imefunga jumla ya mabao matano kibindoni.

Mwendo wake upo namna hii:-

Septemba 6, Uwanja wa Karume, Biashara United 1-0 Gwambina. 


Septemba 13, Biashara 1-0 Mwadui, Karume.


Septemba 20, Simba 4-0 Biashara United, Uwanja wa Mkapa.


Septemba 27, Ruvu Shooting 0-0 Biashara United,  Uhuru.


Oktoba 4, Biashara United 1-0 Mtibwa Sugar,  Uwanja wa Kirumba. 


Oktoba 14, Biashara United 1-0 Ihefu, Karume.


Oktoba 19,Coastal Union 3-0 Biashara United,  Mkwakwani.


Oktoba 25, Polisi Tanzania 0-1 Biashara United, Sheikh Amri Abeid.  

SOMA NA HII  VIDEO: MTIBWA V SIMBA, MASHABIKI WAMFUNGUKIA UCHEBE NAMNA HII