Home Uncategorized VPL: SIMBA 0-1 RUVU SHOOTING

VPL: SIMBA 0-1 RUVU SHOOTING

 

Dakika ya 79 Bocco anakosa penalti
Dakika ya 72 Shaban Msala kadi nyekundu
Dakika ya 72 Fuji Uwanja wa Uhuru
Dakika ya 66 Mohamed Issa anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 59Luis anapiga faulo haizai matunda 
Dakika ya 56 Maganga anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 53 Nyosso anazuia mipango ya Morrison 
Kipindi cha pili kimeanza 

Mapumziko 

Simba 0-1 Ruvu Shooting 
Uwanja wa Mkapa
Zimeongezwa dk 4
Dakika 45 zimekamilika 
Dakika ya 43 Ruvu Shooting wanapeleka mashambulizi kwa Kakolanya
Dakika ya 35 Gooooal  Full Maganga 
Dakika ya 32 Ruvu Shooting wanapeleka mashambulizi kwa Kakolanya 
Dakika ya 27 wachezaji wanapata mapumziko ya kunywa maji
Dakika ya 25 Kapombe amerejea uwanjani

Dakika ya 24 Kapombe anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 22 Emmanuel Martin anachezewa faulo na Mkude

Dakika ya 20 Abrahaman Mussa Mussa jaribio kali ila linakwenda nje ya lango

Dakika ya 19 Fully Maganga wa Ruvu Shooting anaotea

Dakika 15 za kipindi cha Kwanza zimekamilika hakuna timu iliyopata bao

Dakika ya 13  Ruvu Shooting wanapiga kona kupitia kwa Mussa

Dakika ya 12 Luis Miqussone anachezewa faulo na Emmanuel Martin 

Dakika ya 11 Mzamiru anakimbilia Polisi kwa kutoa nje mpira
Dakika ya 10 Simba wanapata faulo 
Dakika ya 5 Ajibu anakosa nafasi ya kufunga ndani ya 18

Oktoba 26


Ligi Kuu Bara 


Simba 0-0 Ruvu Shooting 

UWANJA wa Uhuru: Simba 0-0 Ruvu Shooting

SOMA NA HII  LICHA YA KUCHIMBISHWA SPURS, MUARGENTINA POCHENTINO ANA REKODI TAMU KWELI