Home Uncategorized LIVE: YANGA 1-0 SIMBA

LIVE: YANGA 1-0 SIMBA


Dakika 45 zimekamilika zimeongezwa dk 2

Yanga 1-0 Simba

Dakika ya 40 Mnata anapewa huduma ya kwanza

Dakika ya 31 Michael Sarpong Gooooal penalti
Dakika ya 28 Kisinda anachezewa faulo na Onyango Yanga wanapata penati
Dakika 15 zinakamilika hakuna timu iliyoona lango la mwenzake ndani ya Uwanja wa Mkapa
Dakika ya 14 Farid Mussa anampa pasi Kisinda ambaye anafanya jaribio linaokolewa na Manula
Dakika ya 11 Lamine Moro anamchezea faulo Kapombe
Dakika ya 7 Yanga wanapeleka mashambulizi kwa Simba
Dakika ya 3 Mzamiru anacheza faulo
Yanga 0-0 Simba


Uwanja wa Mkapa

Abdalah Mwinyimkuu mwamuzi wa kati

 UWANJA wa Mkapa, Novemba 11 dabi ya Yanga v Simba


Mechi ya kwanza kwa Kocha Mkuu, Cedric Kaze akikutana na mbinu za Sven Vandnbroeck raia wa Ubelgiji.

SOMA NA HII  SAID NDEMLA: BADO UWEZO NINAO, SINA MASHAKA