Home epl ARGUERO AINGIA ANGA ZA BARCELONA NA INTER

ARGUERO AINGIA ANGA ZA BARCELONA NA INTER


NYOTA wa Manchester City,  Kun Aguero mwenye miaka 32 anatajwa kuingia kwenye rada za Barcelona na Inter Milan. 

Nyota huyo alikuwa miongoni mwa waliotwaa taji la nne la Carabao Cup jana kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Tottenham Hotspurs.

Linakuwa ni taji la nne kwa City la Carabao Cup na wametwaa taji hilo mfululizo jambo ambalo ni mafanikio kwake.

Hatakuwa ma timu hiyo msimu utakapoishwa law kuwa mkataba wake umemeguka na hataongeza kandarasi nyingine.

Inaelezwa kuwa Inter Milan na Barcelona zinawania saini yake hata Liverpool nao wamekuwa wakitajwa kuhitaji saini yake.

SOMA NA HII  BAADA YA KUITAZAMA MAN UTD WAKISUMBUA ...LEO NI ZAMU YA MAN CITY...SHOW YOTE HII IKO PALE PALE NDANI YA DSTv...