Home Simba SC VIDEO: SIMBA WAWAFUATA WAARABU WAKIWA NA CHAKULA PAMOJA NA MATUNDA

VIDEO: SIMBA WAWAFUATA WAARABU WAKIWA NA CHAKULA PAMOJA NA MATUNDA

KIKOSI cha Simba leo Aprili 7 kimeanza safari kuwafuata Al Ahly kikitokea Dubai baada ya jana Aprili 6 kuiacha ardhi ya Tanzania.


 Wakati wanasepa Bongo walisindikizwa na neema ya mvua huku msafara huo uliojumuisha jumla ya watu 55 wakisepa na mabegi zaidi ya 20, vyakula pamoja na matunda, hivi ndivyo walivyoiacha Bongo

 

SOMA NA HII  INONGA, BANDA NA KAPOMBE WACHUANA TUZO MCHEZAJI BORA SIMBA...SAKHO ACHUNIWA..