Yanga SC KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA IHEFU admin July 15, 2021 1:47 pm KIKOSI cha Yanga kitakachoanza leo katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ihefu FC, Uwanja wa Mkapa. Mchezo wa mzunguko wa kwanza ubao wa Uwanja wa Sokoine ulisoma, Ihefu 0-3 Yanga.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.