Home kimataifa KOCHA WA LUIS MIQUISSONE AZIDI KUKAMUA MAMILIONI YA AL ALHY…ATAKA MKATABA WA...

KOCHA WA LUIS MIQUISSONE AZIDI KUKAMUA MAMILIONI YA AL ALHY…ATAKA MKATABA WA ML 450 KWA MWEZI…


Kocha wa Al Ahly ya Misri Pitso Mosimane (57) Raia wa Afrika Kusini inaripotiwa kuwa ametaka mshahara wa USD 195,000 (Tsh milioni 450) kwa mwezi katika mpango wa kuongeza mkataba mpya Al Ahly, ikiwa ni ongezeko la USD 50,000 (Tsh Milioni 115) kutoka kwenye mshahara wake wa sasa.

Mkataba wake mpya anataka uwe na kipengele cha miezi 6 kupewa taarifa kabla ya kuvunja mkataba wake kutoka miezi mitatu iliyokuwa kwenye mkataba wa sasa.

SOMA NA HII  CHELSEA KUWATIBULIA MIPANGO UNITED KWA BEKI