Home Habari za michezo ACHANA NA KAYOKO…HAWA HAPA WAAMUZI WA FIFA WATAKAOCHEZESHA YANGA vs SIMBA..

ACHANA NA KAYOKO…HAWA HAPA WAAMUZI WA FIFA WATAKAOCHEZESHA YANGA vs SIMBA..

Mwamuzi Ramadhan Kayoko ametajwa kuwa Mwamuzi wa Kati atakayechezesha mchezo Namba 64 utakaoyakutanisha Manguli ya Soka la Tanzania Simba SC na Young Africans.

Taarifa iliyotolewa katika Mitandao ya Kijamii ya Bodi ya Ligi ‘TPLB’ imeonyesha Kayoko atawasidiwa na Mohamed Mkono(Tanga), Janeth Balama (Iringa) na Mwamuzi wa Mezani atakuwa Elly Sasii (Dar es salaam).

SOMA NA HII  A-Z...JINSI SIMBA WALIVYOIKOMALIA AL HILAL JANA...KYOMBO AJITANGAZA DUNIANI HUKO...