Home Habari za michezo MERIDIANBET NA KMC WAUNGA MKONO JITIHADA ZA HOSPITALI YA KALITA MATERNITY MADALE…

MERIDIANBET NA KMC WAUNGA MKONO JITIHADA ZA HOSPITALI YA KALITA MATERNITY MADALE…

Meridianbet

Kampuni ya kubashiri Tanzania Meridianbet wakishirikiana na timu ya mpira wa miguu KMC wametoa vifaa mbalimbaali vya usafi pamoja na chakula katika hospitali ya Kalita Maternity iliyopo Madale ambavyo vifaa hivyo vitaisaidia hospitali hiyo kwenye kuhakikasha wanaweka mazingira safi wakati wote kwani hospitali inatakiwa kuwa safi muda wote.

Kama inavyofahamika kuwa, klabu ya KMC wamedhaminiwa na Meridianbet hivyo jambo la Meridianbet ni jambo la KMC ambapo kwenye mechi dhidi ya Singida Big Stars kwasasa( Singida Fountain Gate) wachezaji waliahidiwa kila goli watapata shilingi laki tano(500000).

Na mechi ikaisha kwa KMC kushinda mabao 2-0 na hivyo kupataiwa jumla ya kiasi cha sh Milioni moja, ambacho ndicho hicho wachezaji hao wameamua kuwa wasichukue hizo pesa bali wazitumie kurejesha kwa jamii yao.

Meridianbet Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii

 Meridianbet wanaendelea kurudisha kwa jamii kila siku kwani kufanya hivyo ni kuwajali vijana hasa katika soka. Meridianbet “CHAGUA TUKUPE”.

Kwahiyo pesa hiyo imetumika kununulia vifaa kama Ndoo za uchafu 15 (Dustbin), Mifagio 30 ya kufagilia ndani na nje ya hospitali, Sabuni za usafi na kunawia mikono 15, Mop 15 pamoja na dissinfectant ambavyo hivyo vyote vitatumika kwaajili ya kufanyia usafi.

Pia Meridianbet pamoja na KMC hawajaishia kununua vifaa vya usafi peke yake wamenunua na mahitaji mengine ya vyakula vya nyumbani kama vile, mchele kilo 40, unga wa ugali kilo 30, sukari kilo 30 mafuta ya kupikia lita 20, sabuni ya mche na ya unga pakti 15.

 Pia Meridianbet imeleta mchongo wa  hela kila siku. Kuna hii bonasi ya ukaribisho kwa wateja wapya wote wanapata Tsh 25,000/= ya kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Ingia mchezoni www.meridianbet.co.tz

 Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Afisa Habari wa Meridianbet Bwana Matina Nkurlu akiambatana na Msimamizi wa Waandishi wa Habari Meridianbet Nancy Ingram walihakikisha kuwa vifaa hivyo vyote wanaikabidhi hospitali hiyo na kuwasihi kuwa wavitumie kwa uangalifu na wavitunze kwani vitawasaidia kwenye maisha yao ya kila siku hapo hospitali.

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

 Baada ya kupokea vifaa hivyo hospitali hiyo kwa ujumla wauguzi na wagonjwa walifurahi sana kufikiwa na Meridianbet na kuwaletea vifaa vya usafi na vyakula kwani vitawasaidia wagonjwa waliopo hapo kwani kuna wengine hawana uwezo wa kujinunulia chakula.

NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE

SOMA NA HII  KIUNGO WA YANGA ATIMKIA GOR MAHIA