Home Habari za michezo WAKATI KESHO NI SIKUKUU….TUMIA SLOT HII YA PIGGY PARTY KUPATA MPUNGA WA...

WAKATI KESHO NI SIKUKUU….TUMIA SLOT HII YA PIGGY PARTY KUPATA MPUNGA WA KUJIACHIA NA WASHIKAJI…

Meridianbet

Sloti ya Piggy Party Inakimbiza sana        

Mchezo mpya wa kasino ya mtandaoni ambao wajanja wanaoufahamu wamejikuta wanapiga hela kirahisi sana, ni kutoka Meridianbet sloti hii inaelezea hadithi ya wanyama wapendanao wanaokula bata nyikani.

Sloti hii ya kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inaitwa Piggy Party, imetengenezwa na Expanse Studio ikiwa na dhumuni la kutoa burudani kwa wachezaji huku wakijipatia mihela kila dakika wanayocheza mchezo huu wa kasino ya mtandaoni.

Furahia maajabu ya mbweha na watoto wa nguruwe ukiwa unacheza kasino ya mtandaoni ukibonyeza hapa. Sloti hii imenogeshwa kwa sauti bomba na rundo la mizunguko ya bure ambayo itakuvutia sana kuingia katika ulimwengu huu mzuri. Ubora na utamu wa kucheza kasino ya mtandaoni ya Meridianbet umesogezwa mpaka kiganjani mwako.

Mchezo huu wa Piggy Party unakupa mistari 11 ya malipo ikilipa kulia na kushoto. Cha ziada ni kwamba kuna ile mizunguko ya kawaida ya bure lakini pia hii kasino ya mtandaoni inakupa ofa maalum ya kitufe cha Welcome Drink, ni sehemu ya jiko linalofurahisha sana likiwa limeongezewa vionjo vya muziki hii sio ya kukosa.

Kitu cha pekee kinachofanya mchezo huu wa kasino ya mtandaoni kuvutia wengi wengi ni alama ya jokeri ikiwa na uwezo wa kubadilisha mchezo na kutoa ushindi mkubwa, hapa utakutana na Mbweha anachekela pamoja na Nguruwe mwenye madoido mengi ambao wote hawa wanakupa ushindi kwa njia ya scatter.

Kitufe cha Welcome Drink kinakuja pale ambapo alama mbili za scatter zinafungua mlolongo wa malipo na kutoa mizunguko inayojirudia rudia wakati ukifurahia kasino ya mtandaoni.

Alama ya jokeri inafanya kazi kama sehemu ya kugandihsa mizunguko husika unaokuwepo. Alama tatu za scatter inakupa mizunguko kumi, nne zinakupa kumi na tano, na tano zinakupa bonasi kubwa zaidi ambayo ni MIZUNGUKO 20 YA BURE!

Kikubwa Zaidi ni kwamba gemu hii ya Piggy party itakupa nafasi ya kuongeza ushindi wako, kwa kubonyeza alama ya Gamble/kubashiri ambapo utabashiri rangi za kadi zitakazotokea kama ni nyekundu au nyeusi ukipatia ushindi wako unazidishwa mara 2 zaidi, huku uhakika wa ushindi upo kwa 95.06% usisubiri kupitwa cheza kasino ya mtandaoni hapa.

 NB: Ukijisajili Meridianbet unapewa bonasi ya mizunguko ya bure kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Jisajili na Cheza.

SOMA NA HII  KILICHOTOKEA JANA, SIMBA NA YANGA HAWAWEZI