Home Habari za michezo KUELEKEA KOMBE LA DUNIA STARS YAINYOOSHEA KIDOLE MOROCCO

KUELEKEA KOMBE LA DUNIA STARS YAINYOOSHEA KIDOLE MOROCCO

Taifa Stars

TIMU ya taifa ya Tanzania, ‘Taifa Stars’ imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Niger katika mchezo wa kuwania kufuzu fainali ya Kombe la Dunia 2026.

Bao pekee la mchezo huo wa kwanza kuwania kufuzu Kombe la Dunia limefungwa na Charles M’mombwa dakiak ya 60 akimalizia pasi ya Mbwana Sammata.

Ushindi huo unaifanya Stars kupanda hadi nafasi ya pili kwenye msimamo wa kundi E ikiwa na pointi tatu nyuma ya Zambia ikiwa na utofauti wa mabao.

Kituo kinachofuata kwa Stars ni dhidi ya Morocco katika uwanja wa Benjamin Mkapa Novemba 21 saa 4:00 usiku

SOMA NA HII  KITAMBI FULL UBABE GEITA GOLD