Home Habari za michezo ODDS ZA KUCHACHUKA NA USIKU WA ULAYA HIZI HAPA …MKEKA WAKO USOME...

ODDS ZA KUCHACHUKA NA USIKU WA ULAYA HIZI HAPA …MKEKA WAKO USOME NA MERIDIANBET..

Meridianbet

Ukisikia vita ni vita mura ndio leo sasa kuna mbungi kali sana itaenda kupigwa pale Allianz Arena yani mpaka nyasi zenyewe zitatetemeka hatari sana, na hii ndiyo Ligi ya Mabingwa sasa Ulaya yani afe kipa afe beki huku Bayer huku Lazio nani ni nani leo?

Vijana wa Thomas Tuchel Bayern Munich watashuka dimbani leo Allianz kusaka ushindi mbele ya Lazio ya Maurizo Sarri ambaye mechi ya kwanza alishinda bao 1-0. Meridianbet wamempa Munich nafasi kubwa ya kushinda mechi hii akiwa na ODDS 1.25 kwa 10.78.

Ikumbukwe kuwa Bayern ametoka kutoa sare mechi yake iliyopita ya ligi akiwa ugenini huku akiwa na nafasi ndogo ya kuchukua kombe hilo la Bundesliga. Pia Thomas Tuchel ana presaha kubwa sana ambapo asiposhinda mechi hii ya leo ya kufuzu robo fainali mabmbo yatazidi kuwa magumu kwake. Je nani kwenda hatua inayofuata ligi ya mabingwa. Je Bayer atakubali kutolewa hatua ya 16 bora? Beti hapa.

Kumbuka sio kubashiri tuu, cheza pia michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Kivumbi kingine hii leo chenye maokoto kibao ndani ya meridianbet ni hii hapa ambayo inawakutanisha wenyeji Real Sociedad kutoka Hispania dhidi ya PSG ya Ufaransa, huku mara ya kwanza vijana wa Enrique waliondoka na ushindi wa mabao 2-0 hivyo mlima upo juu kidogo. Mwenyeji kushinda mechi hii amepewa ODDS 2.30 kwa 2.99.

Ikumbukwe kuwa PSG haijawahi kuchukua kombe hili huku mara ya mwisho walipoteza fainali mbele ya Munich. Je Enrique anaweza akawapeleka wapi Paris msimu huu ambao ndio vinara wa ligi kule Ligue 1? Jisajili na ubashiri sasa.

SOMA NA HII  BAADA YA KUCHAPWA JANA MBEYA..PABLO AKABIDHI UBINGWA WA SIMBA KWA AZAM FC...