Home Habari za Simba Leo POWER DYNAMOS YATHIBITISHA USAJILI WA SIMBA KWA MUTALE

POWER DYNAMOS YATHIBITISHA USAJILI WA SIMBA KWA MUTALE

Tetesi za Usajili Simba

Klabu ya Power Dynamos Football Club ya nchini Zambia imethibitisha kuwa wachezaji wake 12 hawatakuwa sehemu ya kikosi Chao msimu ujao wa 2024/25.

Katika orodha hiyo kuna wachezaji wawili ambao wanahusika moja kwa moja na Simba, kuna Mosses Phiri ambaye alikuwa anacheza kwa mkopo wa miezi 6 na umemalizika.

Hiyo inatoa picha na nafasi kwa Mosses Phiri kurejea Simba ambao wana haki ya Kimkataba na mchezaji huyo, watakaa chini kuona wanampa mkataba mwingine au wanampa Thank You.

Jina jingine ni winga mshambuliaji mwenye kasi kubwa na akili ya kuficha mali, Joshua Mutale ambaye amesajiliwa na Simba na muda wowote kuanzia sasa anaweza kutambulisha kama Mrithi wa Chama ambaye amejiunga na Yanga.

1. Godfrey Ngwenya – Moves to Red Arrows Football Club on a permanent deal.

2. Andy Bobwa Boyeli – Moves to Sekhukune United of South Africa on a permanent deal. (Amehamia klabu ya Sekhukune United)

3. Joshua Mutale – Moves to Tanzanian based Simba Sports Club on a permanent deal. (Amehamia Simba kwa mkataba wa kudumu)

4. Francis Zulu – Returns to parent Club, Prison Leopards. (Amerejea klabu yake ya zamani)

5. Moses Phiri – Expiry of loan deal. (Mkopo wake umeisha)

6. Chabu Chisenga – Expiry of contract. (Mkataba umemalizika)

7. White Mwanambaba – Expiry of contract. (Mkataba umemalizika)
8. Hamza Adama – Expiry of Contract. (Mkataba umemalizika)

9. Kalonji Mwepu- Expiry of contract. (Mkataba umemalizika)

10. Laurent Muma – Mutual separation. (Makubaliano ya pande mbili)

11. Lionel Bong – Mutual separation. (Makubaliano ya pande mbili)

12. Kouassi Kouadja – Mutual separation. (Makubaliano ya pande mbili)

SOMA NA HII  AZAM FC WAGOMEA MAKOCHA WABONGO...IBENGE KUMWAGA WINO