Home Authors Posts by admin

admin

25386 POSTS 9 COMMENTS

MOLINGA NA EYMAEL WAFIKA KANDA YA ZIWA

0
KOCHA Mkuu wa Yanga na mshambuliaji namba moja wa Yanga kwa sasa wametia timu Mwanza ikiwa ni safari yao ya kuelekea Shinyanga.Safari yao imeanza...

AZAM FC KUSHIRIKIANA NA TFF MAADHIMISHO YA SIKU YA UTOAJI DAMU...

0
KLABU ya Azam kwa kushirikiana na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa pamoja wataadhimisha siku ya utoaji damu duniani, Juni 14 mwaka huu.Azam FC...

SIMBA YATOA TAMKO KUHUSU MOLINGA, YAICHOKONOA YANGA KIMTINDO

0
HAJI Manara, Ofisa Habari wa Simba amesema kuwa Yanga wanamkosea David Moliga kwa kumzungushazungusha licha ya kwamba ni mchezaji mzuri ndani ya timu hiyo.Juni...

BERNARD MORRISON AONGEZA IDADI YA WATAKAOUKOSA MCHEZO WA MWADUI FC

0
BERNARD Morrison, anaongeza orodha ya wachezaji wa Yanga watakaoukosa mchezo wa kesho dhidi ya Mwadui FC.Wengine ambao wataukosa mchezo huo ni pamoja na Papy...

WAWA AIPIGA MKWARA MZITO AZAM FC

0
BEKI wa kazi wa Simba, Muivory Coast, Pascal Wawa, amebainisha kwamba licha ya ugumu ambao watakutana nao kwenye mechi dhidi ya Azam FC, hakuna...

HIVI NDIVYO BAO LA MORRISON LILIVYOTINGA BUNGENI

0
WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango, Juni 12, 2020 katika kufungia hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka 2020-2021 alikumbusha bao...

NAMUNGO:HAITAKUWA RAHISI KUPAMBANA NA COASTAL UNION

0
HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa Klabu ya Namungo amesema kuwa mchezo wao wa kesho dhidi ya Coastal Union utakuwa mgumu ila watapambana kupaa matokeo.Namungo...

MKUDE KUIKOSA RUVU SHOOTING TAIFA

0
JONAS Mkude, kiungo mkabaji wa Simba atakuwa nje ya uwanja kwa muda wa wiki mbili baada ya kupata majeruhi kwenye mchezo wa kirafiki dhidi...

HAALAD ASHAURIWA KUIBUKA NDANI YA LIVERPOOL

0
ERLING Haaland, mshambuliaji mwenye miaka 19 anayekipiga ndani ya Klabu ya Borussia Dortmund inayoshiriki Bundesliga nchini Ujerumani anatajwa kuwa kwenye rada za Manchester United...

EYMAEL, MOLINGA NA OFISA UHAMASISHAJI WAIFUATA MWADUI LEO

0
KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael leo ameondoka Bongo kuelekea Shinyanga kuungana na timu  kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa Ligi Kuu Bara...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS