admin
JESHI LA KMC LEO DHIDI YA AZAM FC, MCHEZO WA KIRAFIKI
KIKOSI cha KMC kitakachoanza leo mchezo wa kirafiki dhidi ya Azam FC, Uwanja wa Azam Complex.
HILI HAPA JESHI LA AZAM FC LIAKALOANZA DHIDI YA KMC
KIKOSI cha Azam FC, kitakachoanza leo mchezo wa kirafiki dhidi ya KMC Uwanja wa Azam Complex majira ya saa 1:00 usiku
VITA YA UTUPIAJI BONGO IPO NAMNA HII NDANI YA LIGI KUU...
LIGI Kuu Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea pale ilipoishia, Juni 13 ambapo kutakuwa na mechi mbili za mwanzo.Mwadui FC itamenyana na Yanga Uwanja wa Kambarage...
KOCHA MKUU WA YANGA ATIA TIMU BONGO
LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga amewasili leo Dar es Salaam akitokea nchini Ubelgiji alikokuwa kwa ajili ya mapumziko ya lazima yaliyotokana na janga...
KUMEKUCHA, MOLINGA, MAKAME NA SIBOMANA KUKATWA MSHAHARA YANGA
JUMA Abdul, nahodha msaidizi wa Klabu ya Yanga, amesema kuwa Kocha Mkuu, Luc Eymael aliwaambia wachezaji kwamba atakayeongezeka uzito atakatwa mshahara wake ikiwa ni...
COASTAL UNION: NAMUNGO SIO TIMU NYEPESI,TUPO TAYARI KUPAMBANA
KOCHA Mkuu wa Coastal Union, Juma Mgunda, amesema kuwa kikosi kipo tayari kwa ajili ya mchezo wa ligi dhidi ya Namungo utakaopigwa Uwanja wa...
FAINALI YA KOMBE LA FA KUPIGWA SUMBAWANGA
FAINALI ya Kombe la Shirikisho lililo mikononi mwa Azam FC mwaka huu itapigwa Sumbambawanga, mkoani Rukwa.Uwanja huo wa Nelson Mandela kwa sasa unaendelea kufanyiwa...
MBEYA CITY YATOSHANA NGUVU NA TANZANIA PRISONS
MCHEZO wa kirafiki uliochezwa leo kati ya Mbeya City na Tanzania Prisons umekamilika kwa timu zote kutoshana nguvu.Mechi hiyo maalumu kwa ajili ya kujipima...
SIMBA YAENDELEA KUTOA TAHADHARI NA SOMO KWA MASHABIKI KUHUSU CORONA
OFISA Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa ni muhimu kwa mashabiki kuzingatia kanuni na muongozo uliotolewa na Serikali wakati ligi itakapoendelea pale ilipoishia.Simba...