admin
MTIBWA SUGAR HAWANA HESABU ZA KUKAA MEZANI KUZUNGUMZIA OFA ZA WACHEZAJI
UONGOZI wa Mtibwa Sugar umesema kuwa kwa sasa hauna mpango wa kuzungumzia ofa za wachezaji wake kutokana na kuwekeza nguvu nyingi kupambana na Virusi vya...
WARWANDA WANAHAHA KUIPATA SAINI YA KAGERE
MEDDIE Kagere, mshambuliaji namba moja wa Simba bado Klabu ya APR ya Rwanda imekomaa kuisaka saini yake kwa ajili ya msimu ujao.APR inaamini kwamba...
NEEMA KUBWA KINOMA YAWAANGUKIA YANGA
UONGOZI wa Klabu ya Yanga chini ya Mwenyekiti Dk.Mshindo Msolla, umesema kuwa umeandaa jarida maalumu ambalo litakuwa na mambo mengi ambayo yanaihusu Yanga. Jarida hilo...
MORRISON, NYOTA WA YANGA AUKUMBUKA UWANJA WA MPIRA
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Bernard Morrison amesema kuwa kazi pekee iliyomleta nchini ni kuhakikisha anaifanikisha Yanga kupata mabao jambo linalomfanya aukumbuke uwanja wa mpira.Raia...
MUDA WA KUENDELA KUPAMBANA NA CORONA KWA VITENDO NI SASA
DUNIA nzima kwa sasa ipo kwenye vita dhidi ya Virusi vya Corona ambavyo vimesababisha mipango mingi kusimama kwa muda kwa sasa hilo lipo wazi.Kila...
MWENDO WA ALLIANCE FC ULIKUWA WA KUSUASUA
KLABU ya Alliance FC yenye maskani yake Mwanza haikuwa na kasi nzuri msimu huu kabla ya ligi kusimamishwa kutokana na maambukizi ya Virusi vyua...
NENO LA KAGERA SUGAR KWA WATANZANIA WOTE KUHUSU CORONA
JUMA Nyosso, nahodha wa timu ya Kagera Sugar amesema kuwa ni muhimu kwa kila mmoja kwa sasa kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona.Ligi...
KOCHA MRUNDI AVUTIWA NA BEKI WA SIMBA MTAALAMU WA KUTENGENEZA MABAO
SHOMARI Kapombe, beki wa Simba ni miongoni mwa wachezaji anaowakubali Kocha Mkuu wa Namungo, Hitimana Thiery raia wa Burundi.Kapombe amekuwa kwenye ubora wake msimu huu...
ARSENAL IKIPATA OFA NONO YA AUBA INAFANYA BIASHARA
PIERRE Emerick Aubameyang, mshambuliaji wa Arsenal alijiunga na washika bunduki hao msimu wa 2018 akitokea Klabu ya Borussia Dortmund.Nahodha huyo wa timu ya Taifa...
KIUNGO BIASHARA UNITED ANA IMANI NA SIMBA NA YANGA KWENYE KUKUZA...
NOVATUS Dismas, kiungo wa Biashara United anaamini kuwa Simba na Yanga haziui kipaji cha mchezaji.Nyota huyo amesema kuwa kikubwa kinachosababisha kipaji kupotea kwa mchezaji...