Home Authors Posts by admin

admin

25373 POSTS 9 COMMENTS

MITAMBO INAYOMPA JEURI MGUNDA

0
Mitambo inayompa jeuri JumaMgunda, Kocha Mkuu wa Coastal Union;-Bakar Mwamnyeto-beki wa katiAyoub Lyanga-MshambuliajiHassan Kibailo-Beki wa kuliaShaban Dudu-MshambuliajiJames Kahimba-WingaAme Ibrahim-beki wa katiHance Masoud-beki wa pembeni

VIGEZO VYA NAHODHA STARS VIPO NAMNA HII

0
KOCHA Mkuu wa timuya Taifa ya Tanzania,  Etienne Ndayiragije amesema miongoni mwa vitu anavyovitazama kabla ya kumpa mchezajikitambaa cha unahodha ni uwezo wake wa...

BALAA LA YOHANA MKOMOLA LIPO HIVI

0
Yohana Mkomola nyotaMtanzania anayekipiga ndsni ya FK Vorkslka Poltava timu ya chini ya miaka 21 ametumia dakika 638 baada ya kucheza mechi 14.Ameanza kikosi...

BEKI HUYU MZAWA AINGIA ANGA ZA SIMBA, KUKIPIGA NA KAPOMBE

0
Kibwana Shomari, beki wa kulia wa Mtibwa Sugar inaelezwa kuwa yupo kwenye hesabu za Mabingwa watetezi Simba ambao wanaiwinda saini yake.Simba ina hesabu za...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI

0
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumamosi 

SADIO MANE ANAZIDI KUIPASUA KICHWA LIVERPOOL

0
SADIO Mane, nyota wa Senegal anayekipiga ndani ya Liverpool anazidi kuivuruga timu yake kutokana na mabosi wa Real Madrid kuendelea kusisitiza kuwa wanahitaji saini...

SIMBA YATOA TAMKO KUHUSU KUFUTWA KWA LIGI KUU BARA

0
UONGOZI wa Simba umesma kuwa hauna mashaka iwapo Ligi Kuu Tanzania Bara itafutwa kwani wanaamini haki yao ya kuwa was kimataifa itabaki kwao na...

YANGA YAWAOMBA MASHABIKI KUENDELEA KUCHUKUA TAHADHARI

0
PAPY Kambamba Tshishimbi, nahodha wa Yanga amesema kuwa ni muhimu kila mmoja kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona ambavyo ni janga la dunia...

PAMBA SC YAUNGANA NA MBUNGE MABULA KUPAMBANA NA CORONA KWA VITENDO

0
KLABU ya Pamba Sport Club ya Mwanza kwa kushirikiana na Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo la Nyamagana wamekabidhi uongozi wa Soko Kuu Mwanza Mbugani, vifaa ...

MECHI 100 ZA SALAH ZINA MSOTO WA KUTOSHA BALAA

0
MOHAMED Salah, raia wa Misri, nyota wa Liverpool amecheza mechi 100 ndani ya Liverpool tangu ajiunge nayo mwaka 2017 akitokea Klabu ya Roma ametupia...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS