admin
WACHEZAJI MSIBWETEKE, TIMU ZITUMIE MAPUMZIKO HAYA KUYAFANYIA KAZI MAKOSA
CORONA kwa sasa imekuwa ni janga la dunia kiujumla kutokana na kusababisha athari kubwa kwa jamii ambayo ndani yake kuna familia pia ya wanamichezo...
MTUPIAJI WA SIMBA KUBAKI RWANDA KWA MUDA WA SIKU 30
MEDDIE Kagere mshambuliaji wa Simba atachelewa kurejea nchini kufuatia Shirika la Ndege la RwandAir kufuta safari zake zote kwa muda wa siku 30.Hali hiyo...
BEKI TEGEMEO WA YANGA ATAKA KUTIMKA JANGWANI
BEKI wa kati wa Yanga, Said Makapu, amefunguka kuwa amepanga kuondoka kwenye timu hiyo iwapo atapata nafasi ya kwenda kucheza soka la kulipwa kutokana...
TSHISHIMBI: BADO SIJAMALIZANA NA YANGA,TUKISHINDWANA NASEPA
PAPY Tshishimbi, kiungo wa Yanga amesema kuwa yupo kwenye mazungumzo na mabosi wake Yanga ili kumalizana nao kuhusu ishu yake ya mkataba.Tshishimbi kwa sasa...
WACHEZAJI SINGIDA UNITED KUSEPA MAZIMA
IMEELEZWA kuwa baadhi ya wachezaji wa Singida United wamepania kutimka jumlajumla ndani ya kikosi hicho baada ya siku 30 kukamilika.Ligi Kuu Bara kwa sasa...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTIXTRA ALHAMISI, NDINGA MPYA...
MUONEKANO wa UKURASA wa mbele Gazeti la SPOTIXTRA Alhamisi, lipo mtaani kwa jero tu na nafasi ya kushinda ndinga mpya ipo mikononi mwako, Jipatie...
WACHEZAJI KILE MLICHOELEZWA MKIFANYIE KAZI MKIANZA BATA KWA SASA ITAWAUMBUA, TAHADHARI...
LIGI Kuu Bara, Ligi Daraja la Kwanza, Ligi Daraja la Pili, Ligi ya Wanawake pamoja na masuala yote yanayohusu michezo yamesimamishwa kwa muda wa...
SIMBA WAANZA, KAZI, NYOTA HAWA WATATU KUMALIZANA NAO FASTA
NYOTA wa Simba, Sharraf Eldin Shiboub, Mzamiru Yassin ambao ni viungo na beki wa kati Pascal Serge Wawa wameitwa mezani ili kumalizana na Simba.Nyota...
KISA CORONA, BEKI SIMBA AJIFUNGIA NDANI AKICHEZA GEMU
PASCAL Wawa, beki wa Simba amesema kuwa kwa sasa yupo salama na anaendelea kufanya mazoezi binafsi ili kulinda kipaji chake huku akitumia muda mwingi kucheza...