Home Authors Posts by admin

admin

24376 POSTS 9 COMMENTS

WATANZANIA WALIZWA NA DILI LA SAMATTA, WASHANGAZWA NA ASTON VILLA

0
Ni takribani siku ya tano sasa tangu zilipoibuka tetesi juu ya mshambuliaji wa Genk na timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', Mbwana Samatta...

TAFRANI YAPAMBA VITA YA DIAMOND NA HARMONIZE, MATUSI YATAWALA – VIDEO

0
Omary Mwanga maarufu kama MARIO amewaingiza vitani Diamond na Harmonize na kufanya mtifuano mkali katika mitandao ya kijamii.Pande zote mbili zimeonesha nia ya kumtaka...

DIAMOND NA ALIKIBA WAUNGANA, WAFANYA MAKUBWA – VIDEO

0
Mahasimu wa muda mrefu katika mziki wa Bongo Nasib Abdul na Ali Kiba kwa pamoja wameungana kufanya matukio makubwa 

KINACHOCHELEWESHA MBWANA SAMATTA KUTAMBULISHWA ASTON VILLA

0
USAJILI wa Mbwana Samatta kwenda Aston Villa katika timu ambayo inashika nafasi ya 18 kabla ya mechi yao ya juzi Jumamosi, unaweza kuwa sahihi...

STRAIKA MGHANA YANGA AIBUKA NA MPYA

0
MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga, raia wa Ghana, Bernard Morrison, amewaondoa hofu Wanayanga kwa kuwaambia kuwa kama lilikuwepo tatizo la ushambuliaji kwenye timu hiyo, basi...

SIMBA YATUA DAR, KOCHA ATOA LAKE KWA WACHEZAJI

0
KIKOSI cha Simba kimerejea leo Dar kikitokea mkoani Mwanza ambako kilikuwa na mechi mbli za Ligi Kuu Bara.Simba ilicheza na Mbao FC na ilishinda...

MZUNGUKO WA PILI UPO NJIANI, WACHEZAJI WAPYA KAZI KUONYESHA UWEZO WENU

0
LIGI Kuu Tanzania Bara mzunguko wa kwanza hesabu zake ndo zinafungwa kwa sasa ambapo timu zinakamilisha ratiba zao za mwanzo ili kufunga jumla mzunguko...

LIPULI YASAJILI MAJEMBE NANE YA KAZI, DIDA WA SIMBA NA YANGA...

0
MLINDA mlango wa Simba wa zamani na Yanga Deogratius Munishi 'Dida' amejiunga na timu ya Lipuli ya Iringa kwenye usajili wa dirisha dogo.Leo Lipuli...

NJOMBE MJI HUKO MAMBO SIO MAMBO

0
EDGER Mtitu aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa timu ya Njombe Mji amebwaga manyanga kwa kile alichoeleza ni kutokuwa na maelewano na viongozi wenzake ndani ya...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS